ALIKIBA ACHAGULIWA KUWA MUWAKILISHI WA AFRICA KWENYE TUZO HIZI KUBWA
Tuzo za ( MTVEMA ) MTV Europe Music Awards ni tuzo za mziki za MTV barani Ulaya ,kama ilivyo MTVMAMA kwa Africa. Kupitia mtandao wake wa Instagram Alikiba ameeleza jinsi ambavyo mashabiki wake wanaweza kumpigia kura.
Taking bongo flava to the world msisahau kupiga kura wadau wangu na kumuwezesha kijana wetu aweze kurudi na tunzo hii muhimu ambayo italeta heshima katika nchi yetu #kingkiba

Leave a Comment