AJALI MBAYA YATOKEA MAENEO YA PALM BEACH ASUBUI YA LEO

Ajali mbaya yatokea maeneo ya palm beach leo 8 sept 2016 asubui mishale ya saa kumi na mbili ikiwa ni gari aina ya subaru kugonga nguzo ya taa za barabarani Japo bado haijatoka taarifa rasmi kama vifo vimetokea au kuna majerui

[​IMG]
Gari iliopata ajali

"Ni kama vile imepigwa Bomu. Sidhani kama kuna mtu katoka salama. Hivyo wale wanaolekea mjini kutakuwa na foleni mpaka ije gari yenye Crane kulibeba maana vile-Landrover haviwezi kulibeba. kwa mujibu wa shuhuda kutoka" jamii forums
[​IMG]

No comments

SIRI ZA JAMII. Powered by Blogger.