USIKOSE RAHA NA MWENZA WAKO UNCLE WAKO NIMEKULETEA MASWALI YA KUMUULIZA MWANDANI WAKO NA KUMFANYA AKUPENDE ZAIDI KWA UCHESHI WAKO



mapenziiiiiiii2
Anko wako najua ilivyokua sio rahisi unaenda na mwenza wako sehemu faragha alafu inatokea unashindwa cha kuongea nimeliona ilo tatizo sasa kwa nini uwe mpweke wakati kuna vitu kibao vya kufanya maongezi yenu yawe ni matamu na wote mkayafurahia. Sasa leo Anko wenu nimewasogezea maswali ya kumuuliza mwandani wako pindi muwapo faragha
MASWALI YA KUMUULIZA KIJANA UMPENDAE.

images (21)
1.Unakumbuka nini cha utotoni ambacho uliwahi   kufanya?
2.kwenye hii tamthilia unampenda mwigizaji gani?
3.nafikiri nimepoteza namba yangu ya simu , naweza chukua ya kwako?
4.ni kipi kinachoweza kukufanya ucheke zaidi katika maisha yako?
5.kwa mfano wewe ungekuwa muhudumu  ungechagua watu  wa jinsia gani wa kuwahudumia ?
6.umewahi kutuma maombi ya urafiki kwa rafiki wa kike?
7.kabla ya mimi umewahi kuwa na nani?
8. je unaweza kukosa kitu unachokipenda  kwa ajili yangu?
9.kama ukijikuta umeangukia kwa mwanamke , utaitumiaje hio siku wewe kama wewe?
10.wewe ni wangu?
11.unampenda nani?
12. unaamini kama kuna mungu?
13.unawezaje kumjua mtu kama ni rafiki wa kweli?
14.Unapenda kuwa smart au ni vyovyote tu?
15.je unweza kukaa na mtu usiempenda?
16.Unajisikiaje unapokuwa na mimi?
17. Utamjuaje mchumba wa kweli?
18.Unatafuta kitu gani kwa msichana?
19.Utajielezeaje wewe mwenyewe?
20.je, utaweza kunielezea mimi?
21.Kuna tatizo gani umewahi kukumbana nalo?
22.ni mzuri au ni mbaya?
23.umewahi kumwacha msichana?
24.umewahi kujihusisha na kitu chochote kibaya?
25.busu la kwanza kabisa ulimbusu nani?
26.ulifanikiwa?
27. Unapenda staili ipi ya mapenzi?kitandani.
28. Tamthilia ipi unaipenda?
29.Unapenda chakula gani?
30.unapenda rangi gani?
31.unapenda mziki gani ?
32.ukiwa mtoto ulikulia wapi?
33.Ulipendelea kucheza mchezo gani wakati wa utoto?
34. unashangilia timu gani ya mpira?
35.mwigizaji gani unamkubali sana duniani?
36. tamthilia ipi ni nzuri?
37.unawafurahia marafiki zangu?
38.unaipenda kazi yako?
39.unategemea kubadilisha nininkatika maisha yako?
40.Kuna kitu chochote ambacho huwa nakuudhi hata kama ni cha kijinga ambacho hujawahi kujaribu kuniambia?
MASWALI MENGINE YA KINDANI ZAIDI YA KUULIZA  UNAPOKUWA NA MTU ANAYEKUTHAMINI.
images (24)
41.Ukipoteza  nguvu zako wakati wa usiku , je  ni kitu  kipi utanieleza ili niridhike?
42.Ni sehemu gani ya mwili wangu , macho yako yakiona utashangaa kama hujawahi kuniona nikiwa uchi?
43.Umewahi kusikia mwili wangu ukinuka?
44.kama nakuhitaji, natupo pamoja wakati huo, unawezaje kunielewa, wengine husema unawezaje kunisoma,je unafikiri utajua dalili?
45.umewahi kuota uko na mwanamke ukifanya mapenzi?
46.umewahi kucheza kama dactari wakati wa utoto?
47. ni aina gani ya mapenzi ungependa kuwa nayo katika maisha yako?
48.Umewahi kufumwa ukiwa uchi?
49.je una uzoefu gani katika mahusiano?
50.unaweza kuniambia vitu  vya kuchekesha ulivyofanya wakati wa utoto?
51.Kama ungetaka kubadili jinsia ni sehemu ipi ungependelea,na kwa nini?
52.Kuna siri yeyote hujaniambia?
53.UTU. je unafikiri umbo la mtu lina tatizo katika mahusiano?
54.tukipata watotro mimi na wewe ungependa  watoto wetu wafuate tabia zetu?
55.unapenda staili ipi ya chini au ya juu?
56. umewahi kumpiga mtu kofi?
57.je wewe ni mkweli?
58.kitu gani unachokipenda ambacho hujawahi kuniambia?
60 .Nikimwangalia mwanaume mwingine na kumsifia  utaudhika?je kuna tabia yeyote ya udanganyifu  ambayo hujaipenda kwangu?unaweza kuacha kitu unachokipenda kwa kumsaidia rafiki?

No comments

SIRI ZA JAMII. Powered by Blogger.