Taarifa za usajili zimeendelea kurindima barani ulaya kwa upande wa
Sunderland wamemsajili kiungo wa Gabon Didier Ndong akitokea Lorient kwa
mkataba wa miaka mitano kwa dau la £13.6m .
Wilfred Bony mkali ambae amekuwa akivutiwa na nyimbo za baadhi ya
wasanii hapa Tanzania amejiunga na Stoke City kwa mkopo akitokea Man
city.
Leave a Comment