IVI UNAFANYE ENDAPO MTOTO WAKO KAKUULIZA BABA NA WEWE UTAKUFA???
Posted by Mohamed kafimbi
on wednesday
31 August 2016
Kama mzazi inaweza kukushangaza kidogo kwa kujiuliza maswali kadhaa kwamba mototo wako wa miaka sita kakuuliza swali kama ilo kwamaba anelewa kuusu kifo? dunia inabadilika na mengi yanatokea hasa katika jamii zetu sisi kama waswahili kwa hyo nadhani pia ni kawaida watoto kuja na vitu vipya ambavyo kama mzazi ujavitarajia kabisa kuviskia haswa kutoka kwa mtu mwenye umri kama wake wa utoto na unapo mjibu kwa uwazi inamjenga kama mtoto kuweza kufahamu na kukabiliana na mshtruko endapo swala ilo litatokea.

wataalamu wanasema watoto wengi hawaoni kifo kama ni mwisho wa uhai ndio maana ata katika kucheza kwao mmoja wao anaweza kuigiza kufa na akazinduka muda si mrefu na wanapozidi kukua uanza kuona kifo ni jambo zito na kuwa na wasiwasi na kuuliza maswali mengi kuhusiana na kifo.
Mtoto ataanza kuwa na wasiwasi wa kuzungumzia swala la kifo endapo atapigwa marufuku kuzungumzia swala ilo nyumbani ili ilisemwa na mwanazuoni na mtaalamu wa mabo ya saikolojia bwana Jovin Rumanyika.
KITU CHA KUFANYA
1. Mueleze ukweli , ukweli umuweka mtu huru ukimueleza ukweli ataelewa na ata kama kuna mtu wa ukoo alefariki ni vizuri kwa kumpa mifano na sio kumwambia kwamba ameondoka hyo itampa imani kwamba kuna uwezekano wa mtu uyo kurudi kwa kumpa mfano kama bibi alopokufa atuwezi kuongea nae tena mwili wake autorudi lakini atuwezi kumsahau
2. Mfariji mtoto apate kuelewa kwamba sio jambo la kuambukiza na kuwa ni jambo la uzuni ili isimuaribu pia kisaikolojia hyo itamuwekea misingi ya kuamini kwamba kifo ni jambo la uzuni na mtu akifa arudi tena bali bali kumbukumbu zake tutazienzi.
3. Mruhusu mtoto na yeye ajieelezee labda kuna watu wa kwenye familia waliowai kufariki , hii itampa mwanga mpana kwa kugundua kifo ni jambo la aina gani na ata imetokea mtu amefariki iwe ni rahisi kwa yeye kuelewa nini kinaendelea.
Endelea kukaa na mimi uncle wako nitakua nakuletea makala kama hizi za kusisimua na kuielimisha jamii katika mambo mbali mbali yakiwemo maisha kwa ujumla na kuweza kusaidiana kimawazo.

Leave a Comment