DIAMOND PLATINUMZ KWENYE HEADLINES NA MKALI FRENCH MONTANA
By
on
Tuesday, 30 August 2016
Tuesday, 30 August 2016

Hii imeibuka baada ya star wa burger movie selfie mkali belle 9 alipotembelea studio za WCB na kurushwa live katika kipindi cha planet bongo week iliyopita star belle 9 ameongea katika maojiano aliofanya na ayo Tv kwamba amejifunza vitu vingi na kutu bless masikio yetu na ishu ya Diamond Platinumz kufanya collabo na French Montana pia amepata heshima kwa kusikilizishwa collabo mpya ya Wizkid na Diamond Platinumz..
Hii inaonesha jinsi gani Diamond Platinumz anavyoeendelea kuipeperusha bendera ya nchi yetu kikamilifu na kuitunza ahadi alioaidi kwamba album yake itakuwa ni ya kimataifa

Leave a Comment