RAIA WA CUBA WALIOKO UHAMISHONI WAMEFURAHIA NA KUSHEHEREKEA KIFO CHA FIDEL CASTRO
Raia wa Cuba walioko uhamishoni Miami, ambao walisubiri kwa hamu
kumalizika kwa utawla wa Muda mrefu wa Fidel Castro, wameimba na
kucheza densi kwa shangwe kufuatia kifo chake licha ya mvua kunyesha.
Wakati dunia ikimkumbuka shujaa huyu wa Cuba, maelfu ya raia hawa walioko uhamishoni walishangilia na kubeba mabango yaliyoandikwa,"Shetani Castro sasa ni wako"
Angalia picha hizi hapa chini za raia hao wakishangilia
Leave a Comment