DIAMOND, ALIKIBA, VANESSA MDEE NA NAVY KENZO KUWANIA TUZO ZA SOUNDCITY MVP NCHINI NIGERIA
List nzima ya majina ya wasanii watakaowania tuzo za Soundcity MVP 2016 yametangazwa.
Diamond Platnumz ametajwa kuwania vipengele vitatu, Vanessa Mdee viwili huku
Alikiba na Navy Kenzo wakiwa na kipengele kimoja kimoja. Tuzo hizo zitatolewa
kwenye ukumbi wa uliopo Eko Hotel jijini Lagos nchini Nigeria, December 29. Ili kuweza
kuwapigia kura wasanii unaowapenda, bonyeza hapa.
Vifuatavyo ni vipengele walivyotajwa kuwania wasanii wa Tanzania.
Leave a Comment