BREAKING NEWS: ALIYEKUWA WAZIRI WA ELIMU NA MBUNGE WA MUFINDI, JOSEPH MUNGAI AMEFARIKI DUNIA
Marehemu Joseph Mungai enzi za Uhai wake
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu na Mbunge wa Mufindi, Joseph
Mungai amefariki dunia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
-
Aidha mwanasiasa huyo mkongwe nchini alikihama chama chake cha CCM na
kujiunga na chama cha siasa cha CHADEMA katika harakati za uchaguzi mkuu
mwaka 2015.
Habari hizi ni kutoka kwa Familia na ndugu wa karibu na Joseph Mungai.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema, Amin.
Ameen
ReplyDeleteAmeen
ReplyDelete