SHERIA: FAHAMU MAHALA PA KUIFADHI WOSIA PINDI UNAPOKUWA NAO KISHERIA
Mahali pa kuhifadhi wosia
Wosia waweza kutunzwa mahali popote palipo na usalama
na ulinzi wa kutosha, ili kuepuka kughushiwa. Watu wengi
huchagua kutunza katika sehemu zifuatazo;
a. Ofisi ya Kabidhi Wasii Mkuu(RITA/WAUU);
b. Kwenye vyombo vya kutoa msaada wa kisheria;
c. Asasi za kidini kama kanisa au msikiti;
d. Katika Kampuni ya uwakili;
e. Kwa mtu yeyote asiye mrithi katika wosia husika na ana
sifa za kutunza siri;
f. Benki;
g. Mahakamani;

Leave a Comment