DIAMOND PLATNUMZ ATOBOA SIRI YA KUTOKUPANDA JUKWAA LA FIESTA 2016
Hatimaye Diamond ametoa sababu ya kutopanda jukwaa la fiesta 2016, Akihojiwa na kipindi cha jahazi cha clouds fm, mtangazaji Gadner G aliingizia kwa kumuuliza kutokana na kiu ya mashabiki ya kumuona diamond platnumz kwenye jukwaa la Tigo fiesta mwaka huu.
Lakini baada ya swali ilo Diamond pltnumz alimtumia mpira meneja wake babu tale na ivi ndivyo Meneja Tale alivyofunguka" akuna asiefahamu kuwa diamond platnumz ana ndoa na vodacom. Akimaanisha mkataba uliopo kati ya star uyo kutoka label ya WCB na kampuni ya mawasiliano ya vodacom ivyo kushiriki kwake kwenye jukwaa la fiesta lililodhaminiwa na kampuni nyingine ya mawasiliano ambayo ni tigo kama mdhamini mkuu rasmi wa tamasha la fiesta 2016 kungepelekea mgongano wa maslai na hyo ndio sababu kubwa ilimfanya hit maker uyo wa Salome kutoshiriki Tigo fiesta mwaka huu.
Leave a Comment