ZITTO ATOA MAJIBU MBELE YA WAANDISHI WA HABARI
![]() |
Zitto Kabwe |
Licha ya jeshi la polisi kukataza mikutano ya mbalimbali ya kisiasa 25/ 08 / 2016 katika kuzuia fujo zinazoendelea kutokea hasa katika nyakati hizi.
Mnamo tarehe 5 /09/ 2016 chama cha ACT wazalendo kilikutana katika kuongelea shughuli zao za kichama na kukutana na waandishi wa habari na kutoa tamko rasmi kupitia mwenyekiti wa chama hicho Zitto Kabwe, Katika kujibu maswali ya waandishi wa habari kuhusiana na kufanya mikutano licha ya polisi kupiga marufuku mikutano ya kisiasa, amesema
Aidha Zitto Kabwe akitoa tamko rasmi la kamati kuu ya chama cha ACT wazalendo iliyokaa jana kuhusu hali ya nchi. Zitto Kabwe aliongeza kwa kuzungumzia swala la shughuli za kiuchumi.
"Ukuaji
wa shughuli za kiuchumi kwa kipindi cha miezi sita ya kwanza ya
serikali ya awamu ya tano umefanya kasi ya ukuaji kushuka kutoka 9%-5%"–Zitto
Leave a Comment