MLIPUKO WAKUSHTUA WATOKEA MAREKANI JIJINI NEWYORK
Newyork Marekani, mlipuko umetokea mtaa wa chelsea usiku wa kuamkia leo na kusababisha watu 29 kujeruiwa, mpaka sasa hamna taharifa zinazosema kuna vifo vilivyotokea.
Chanzo cha mlipuko bado akijajulikana na taarifa zilizopo kwamba tukio ilo limepangwa japo hamna chanzo cha moja kwa moja kulihusisha na ugaidi alisema Meya Bill De Blaiso.
mlipuko uliweza kuvunja madirisha na kusikika umbali wa mitaa kadhaa japo majeruhi wamepata majeraha ya kwaida sio ya kutishia sana maisha, alizungumza kamishina wa mambo ya kuzuia majanga ya moto.
Leave a Comment