HAKI ULIZONAZO KAMA RAIA KABLA NA MARA BAADA YA KUKAMATWA NA POLISI KWA MUJIBU WA SHERIA ZA NCHI

posted by Jackson Msuya, 30 August 2016
Uncle wako leo nipo kwa ajili ya kukujuza kuhusiana na swala ili kwamba jamii ya kitanzania inaishi kwa amani kwa hyo sisi sote ni wana amani na mimi uncle sina budi kuidumisha amani hii kwa kukuletea Haki ulizo nazo mwanajamii mwenzangu pindi ukamatwapo na polisi



1. Kudai kitambulisho kwa mtu anayekukamata
2. kufahamu polisi anayekukamata anatokea kituo gani
3. Kujua kosa unalokamatwa nalo
4. kuhitaji kuona hati ya yeye anaekukamata
5. Haki ya kupata rufaha kulingana na kosa
6. Haki ya kuwakilishwa na wakili

  Mpaka hapo nadhani mwana jamii mwenzangu umeshapata mwanga baadhi ya vitu vya kufanya pindi swala ilo linapokukuta na katika ili pia inategemea na jinsi utakavyokamatwa kaa na mimi nipate kukufungua vitu vingine vingi kuhusu jamii inayotuzunguka

3 comments:

  1. Good.... Lot of improvement needed

    ReplyDelete
  2. If thise rights are violated by the same authority like polices then what can be the possible help?To know is one thing.

    ReplyDelete

SIRI ZA JAMII. Powered by Blogger.