MENEJA WA DIAMOND PLATNUMZ AJIBU TUHUMA ZA KUHUJUMU SHOW YA ALIKIBA
"The main act katika ile show ni wizkid na chris brown na nilikuja kuangalia show na kufanya connection zangu na kama watu walikua hawajui Diamond ana meneja mwingine West Africa ambae ni Mr Sande anaemsimamia Wizkid kwa hyo kwa ujumla mimi na uongozi wa wizkid tunashirikiana katika kufanya kazi pamoja kwa kiasi kikubwa sana wakina bebe cool sauti soul walikuwepo kusoma soko la muziki kwa hyo inakuwa sio sawa mimi kutuhumiwa kiasi ikona ana tumbuiza mimi sikuwepo kabisa eneo lile na icho kitu watu wote mliona media zote kwasababu kamera zote zilikuwa zinafocus kwangu na wote waliangalia kitu ambacho kilitokea alipaform vannesa mdee baada ya vannesa, alikiba alitakiwa apande show ilisimama kwa dakika 30 alikiba ataki kutumbuiza alitaka wizkid atumbuize na yeye afate sasa mwisho wa siku sijui kwa habari zinazo sikika kwamba anasema yeye ni mkubwa kuliko wizkid, Kitu amabocho nilifanya nilikuwepo stejini wakati wizkid anaperfom na tulishuka wote niliwaona wakati wanaswali mimi na sande tulienda room na nilikuwa mita 50 mbali na steji kwa hyo nilichoskia steji manager na security wa chris brown walitaka alikiba ashuke kutokana na kuchelewa kwa show ya chrisbrown na mm nilichosikia mziki umezimwa na mimi nilirudi kwenye steji baada chrisbrown kuanza kutumbuiza. Na kitu kingine ambacho nikiweke sawa watu wasiwe wanatukana bila kujua ukweli wa mambo ni kwamba Sound haikai backstage inakaa mbele na kitendo cha kusema amefanyiwa hujuma ni kupotosha watu na anatakiwa aombe msamaha kwa hilo"
Leave a Comment