ALIKIBA AMTUPIA LAWAMA MENEJA WA DIAMOND PLATNUMZ KWA KUMZIMIA MIC KWENYE SHOW MOMBASA


Image result for alikiba mombasa photos
Alikiba alipokuwa akizungumza na Mtangazaji wa kipindi cha Mambo mseto cha Radio Citizen ya Kenya Willy Tuva"sasa sikujua kitu gani nilichofanya mpaka mtu amekuja na kudisconnect mic alafu kuna vitu amambovyo sijavielewa ambavyo vilikuwepo katika show mimi pia sijafurahishwa na ivyo vitunilimuona meneja wake Diamond kaja pale yeye amefata nini backstage inamuhusu nini show mpaka awepo backstage sababu kuna sehemu nyingi mtu unaweza kukaa na kuangalia show kama VIP ata kama watu wanafikiria mimi na Diamond tuna bifu na vitu kama ivi vinatokjea kiukweli haileti picha nzuri kiukweli"
 Image result for sallam sk

Japo kimazingira aikujulikana ni kwanini meneja wa diamond platnumz salam sk alifata nini backstage na alikiba japo akuongea moja kwa moja lakini amekiri kushtushwa na kitendo cha kumuona saalam sk back stage na mic kuzima gafla katika show yake baada ya kuperfom nyimbo mbili tu ambazo ni Aje na Macmuga na punde alishuka stejini kumpisha chris brown atumbuize.

Hizi ni baadhi ya comments za mashabiki baada ya tukio ilo kutokea na clip kusambaa kwenye mitandao ya kijamii.

No comments

SIRI ZA JAMII. Powered by Blogger.