HABARI: IDADI YA WATU WALIOPOTEZA MAISHA KATIKA TETEMEKO LA ARDHI YATAJWA

Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania Imetoa tamko kwamba tetemeko la ardhi lililotokea jana kanda ya ziwa kwenye miji kama Bukoba limesababisha madhara makubwa na watu wengine wamepoteza maisha.

Mamlaka hiyo imesema japo mpaka sasa haijapata idadi kamili ya waliojeruhiwa, idadi ya waliofariki kutokana na tetemeko hilo imefika idadi ya Watanzania wanne ambapo bado juhudi za uokoaji zinaendelea kufanyika. ntakua nakuletea taarifa kamili kila zinaponifikia endelea kuhabarika na Siri za Jamii.

 screen-shot-2016-09-10-at-5-34-55-pm

No comments

SIRI ZA JAMII. Powered by Blogger.